Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam An-Nawawiy: Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

Imaam An-Nawawiy: Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

Fataawa Mbalimbali [1]

 

Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

 

Imaam An-Nawawiy (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Imaam An-Nawawiy amesema kuhusu Swalaatur-Raghaaib (inayoswaliwa mwezi wa Rajab): “Hiyo ni bid’ah inayochusha na inayokanushwa kwa nguvu, imejumuisha maovu kadhaa. Hivyo inapaswa kuachiliwa mbali na kukemewa kwa mwenye kuitekeleza.”

 

[Fataawaa Imaam An-Nawawiy (Uk. 57)]

 

 

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9680

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/231
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9680&title=Imaam%20An-Nawawiy%3A%20Swalaatur-Raghaaib%20Bid%E2%80%98ah%20Inayochukiza%20Mno%20Inapaswa%20Kukemewa%20