Sambusa Za Nyama
Vipimo
Manda ya sambusa ya tayari - Kiasi zinavyouzwa(Kiasi ya sambusa 40-50)
Mafuta ya kukaangia - Kiasi
Nyama ya Kusaga - 3LB (Pounds)
Kitunguu saumu(thomu) na tangawizi iliyosagwa - 2 Vijiko vha chai
Pilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chai
Pilipili manga - 1 kijiko cha supu
Garam masala - 1 kijiko cha supu
Chumvi - Kiasi
Vitunguu maji vilivyokatwa (chopped) - 3 Vidogo au 2 Vikubwa
Kotmiri iliyokatwa (chopped) - Kiasi
Namna ya kutayarisha na kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/46
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F996&title=Sambusa%20Za%20Nyama