Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 05-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتَابُ اَلصِّيَامِ - Kitabu Cha Swiyaam > 01-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Swiyaam: Taarifu Ya Swawm

01-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Swiyaam: Taarifu Ya Swawm

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

Mlango Wa Swiyaam

 

01-Taarifu ya Swawm

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

[Al-Lubaab (1/162), Al-Majmuw’u (6/248) na Al-Mughniy (3/84)]

الصيام و الصوم  “Swiyaam” na “HAJJ” katika lugha ya kawaida ina maana ya kujishika na kujizuia na kitu, na hutumiwa katika kujizuia kwa aina zote. Allaah Ta’aalaa Akimzungumzia Maryam (‘Alayhas Salaam) Amesema:

(( إِنِّي نَذَرْتُ لِلرَّحْمَـٰنِ صَوْمًا))

((Hakika mimi nimeweka nadhiri ya swawm [ya kutozungumza] kwa Ar-Rahmaan)). [Maryam (19: 26)]

 

Yaani, kunyamaza, kujishika na kujizuia na kunena.

 

Ama kisharia, ni kujizuia na vyenye kufunguza Swawm toka kuchomoza Alfajiri hadi jua kuchwa pamoja na niya ya kumfanyia ‘ibaadah Allaah Ta’aalaa.

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10573

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10573&title=01-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Mlango%20Wa%20Swiyaam%3A%20Taarifu%20Ya%20Swawm