Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 05-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتَابُ اَلصِّيَامِ - Kitabu Cha Swiyaam > 03-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Swiyaam: Vigawanyo Vya Swiyaam

03-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Swiyaam: Vigawanyo Vya Swiyaam

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

Mlango Wa Swiyaam

 

03-Vigawanyo Vya Swiyaam

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

Jua kwamba Swiyaam ina vigawanyo viwili:

 

1- Swiyaam ya Waajib

 

2- Swiyaam ya Sunnah

 

1- Vigawanyo Vya Swiyaam Ya Waajibu

 

Swiyaam ya Waajib ina vigawanyo vitatu: [Bidaayatul Mujtahid (1/422)]

 

(a) Ni ya waajib katika wakati wake husika. Hii ni Swawm ya Mwezi wa Ramadhwaan wenyewe, na ndiyo ambayo ahkaam zake tunazizungumzia hapa.

 

(b) Ni ya waajib kutokana na sababu. Hii ni Swiyaam ya Kafara.

 

(c) Ni ya waajib kutokana na mtu kujiwajibishia mwenyewe hilo. Hii ni Swiyaam ya Nadhiri.

 

Vigawanyo hivi viwili (Swiyaam ya Kafara na Nadhiri) tutavifafanua kila kimoja peke yake katika mahala pake.

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10575

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10575&title=03-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Mlango%20Wa%20Swiyaam%3A%20Vigawanyo%20Vya%20Swiyaam