Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti > 36-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Muda unaokatazwa kuswalia jeneza na kuzika

36-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Muda unaokatazwa kuswalia jeneza na kuzika

 

Muda unaokatazwa kuswalia jeneza na kuzika:

 

Kutoka kwa Uqbah bin ‘Amir (Radhiya Allaahu 'anhu) amesema, ‘Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) ametukataza kuswalia na kuzika maiti katika nyakati tatu; pindi linapochomoza jua hadi linapotulia juu, pindi jua linapokuwa katikati hadi linapopinda, pindi jua linapoanza kuzama hadi linapokuwa limezama kabisa.’ (Muslim)

Nyakati zenyewe ni hizi: linapochomoza hadi baada yake kama dakika ishirini hivi hadi nusu saa, kabla ya Swala ya Adhuhuri kwa dakika ishirini hadi inapoadhiniwa adhuhuri, kabla ya Maghrib hadi linapozama kabisa jua.

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1515

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1515&title=36-Dalili%20Za%20Kheri%20Katika%20Mambo%20Yamfaayo%20Maiti%3A%20Muda%20unaokatazwa%20kuswalia%20jeneza%20na%20kuzika