Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti > 51-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Kutoa sadaka mali ambayo haikuusiwa

51-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Kutoa sadaka mali ambayo haikuusiwa

 
Kutoa sadaka mali ambayo haikuusiwa:
 
 
Muslim amepokea kuwa: kuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam), ‘Baba yangu amefariki na ameacha mali ambayo hakuusia chochote; Je, nikitoa sadaka mali hiyo itamsaidia kumpunguzia madhambi yake au je, atapata malipo kwa jambo hilo? Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) akajibu, “Ndiyo.”  
 
Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1530

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1530&title=51-Dalili%20Za%20Kheri%20Katika%20Mambo%20Yamfaayo%20Maiti%3A%20Kutoa%20sadaka%20mali%20ambayo%20haikuusiwa