Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Uswuwl Al-Fiqhi > 09-Uswuul Al-Fiqhi: Kipindi Cha Maswahaba Wakuu

09-Uswuul Al-Fiqhi: Kipindi Cha Maswahaba Wakuu

 

Baada ya kipindi cha Mbora wa Mitume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), ukaingia wakati wa Maswahaba wakuu na viongozi walioongoka vyema Khulafau’ ar-Raashiduun. Kipindi hichi kilidumu kutoka mwaka 11 hadi 40 A.H. Wasomaji Qurra’ ni neno lililokuwa linatumika wakati huu kumaanisha wale Swaababah wenye utambuzi mzuri wa Fiqhi na waliokuwa wakitoa Fatawa.

 

 

 

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1735

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1735&title=09-Uswuul%20Al-Fiqhi%3A%20Kipindi%20Cha%20Maswahaba%20Wakuu