Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Al-Ahaadiyth Al-Qudsiyyah > 03-Hadiyth Al-Qudsiy: Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja Mbingu Katika Mkono Wake Wa Kulia

03-Hadiyth Al-Qudsiy: Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja Mbingu Katika Mkono Wake Wa Kulia

Hadiyth Al-Qudsiy

Hadiyth Ya 3 

Allaah Atanyakua Ardhi Na Atakunja Mbingu Katika Mkono Wake Wa Kulia

 

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((يَقْبِضُ اللَّهُ الْأَرْضَ وَيَطْوِي السَّمَاءَ بِيَمِينِهِ ثُمَّ يَقُولُ أَنَا الْمَلِكُ أَيْنَ مُلُوكُ الْأَرْضِ)) البخاري و مسلم

Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Allaah Atainyakua dunia yote na Atazikunja mbingu kwa kwa Mkono Wake wa kulia kisha Atasema: Mimi Ndiye Mfalme! Wako wapi wafalme wa ardhi?)) [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

 

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/2651

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2651&title=03-Hadiyth%20Al-Qudsiy%3A%20Allaah%20Atanyakua%20Ardhi%20Na%20Atakunja%20Mbingu%20Katika%20Mkono%20Wake%20Wa%20Kulia%20