Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Al-Ahaadiyth Al-Qudsiyyah > 09-Hadiyth Al-Qudsiy: Subira Katika Mshtuko Wa Kwanza Jazaa Yake Ni Jannah

09-Hadiyth Al-Qudsiy: Subira Katika Mshtuko Wa Kwanza Jazaa Yake Ni Jannah

Hadiyth Al-Qudsiy

Hadiyth Ya 9

Subira Katika Mshtuko Wa Kwanza Jazaa Yake Ni Jannah

 

عَنْ أَبِي أُمَامَةَ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ:  ((يَقُولُ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ يَا ابْنَ آدَمَ: إن  َصَبَرْتَ وَاحْتَسَبْتَ عِنْدَ الصَّدْمَةِ الْأُولَى لَمْ أَرْضَ لَكَ ثَوابا دون الْجَنَّةِ)) ابن ماجه

Kutoka kwa Abu Umaamah ambaye amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Allaah Aliyetukuka na Jalali) Anasema: Ee bin-Aadam! Utakaposubiri na ukategemea thawabu katika mshtuko wa mwanzo, Sitoridhia thawabu yoyote kwa ajili yako ila ya Jannah) [Ibn Maajah]

 

 

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/2657

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2657&title=09-Hadiyth%20Al-Qudsiy%3A%20Subira%20Katika%20Mshtuko%20Wa%20Kwanza%20Jazaa%20Yake%20Ni%20Jannah