Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Al-Ahaadiyth Al-Qudsiyyah > 34-Hadiyth Al-Qudsiy: Mwenye Kupenda Kukutana Na Allaah Na Anayechukia Kukutana Naye

34-Hadiyth Al-Qudsiy: Mwenye Kupenda Kukutana Na Allaah Na Anayechukia Kukutana Naye

Hadiyth Al-Qudsiy

Hadiyth Ya 34

Mwenye Kupenda Kukutana Na Allaah Na Anayechukia Kukutana Naye   

 

 

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:  ((قَالَ اللَّهُ إِذَا أَحَبَّ عَبْدِي لِقَائِي أَحْبَبْتُ لِقَاءَهُ وَإِذَا كَرِهَ لِقَائِي كَرِهْتُ لِقَاءَهُ)) البخاري و مالك

 Imepokelewa kutoka kwa Abua Hurayrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Allaah Amesema: Mja wangu akipenda kukutana na Mimi, Nami Hupenda kukutana naye; na akikirihika (akichukia) kukutana na Mimi, basi nami Hukirihika kukutana naye)) [Al-Bukhaariy na Maalik]

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/2689

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2689&title=34-Hadiyth%20Al-Qudsiy%3A%20Mwenye%20Kupenda%20Kukutana%20Na%20Allaah%20Na%20Anayechukia%20Kukutana%20Naye