Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 002-Al-Baqarah: Aayah Na Mafunzo > 238-Aayah Na Mafunzo: Umuhimu Wa Kuhifadhi Swalaah Ya Alasiri

238-Aayah Na Mafunzo: Umuhimu Wa Kuhifadhi Swalaah Ya Alasiri

Aayah Na Mafunzo

Al-Baqarah

 

 

Umuhimu Wa Kuhifadhi Swalaah Ya Alasiri

 www.alhidaaya.com [1]

 

 

حَافِظُوا عَلَى الصَّلَوَاتِ وَالصَّلَاةِ الْوُسْطَىٰ وَقُومُوا لِلَّـهِ قَانِتِينَ﴿٢٣٨﴾

238. Shikamaneni na Swalaah na khaswa Swalaah ya katikati (Alasiri), na simameni mbele ya Allaah katika hali ya utiifu.

 

 

Mafunzo:

 

Umuhimu wa Swalaah ya ‘Alasiri: Ibn ‘Umar (رضي الله عنه) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: “Mwenye kupitwa na Swalaah ya Alasiri ni kama amedhulumiwa watu wake na mali yake.” [Al-Bukhaariy (552)]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8040

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8040&title=238-Aayah%20Na%20Mafunzo%3A%20Umuhimu%20Wa%20Kuhifadhi%20Swalaah%20Ya%20Alasiri