Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 003-Aal-'Imraan: Aayah Na Mafunzo > 046-Aayah Na Mafunzo: Watoto Watatu Ambao Waliongea Wakiwa Wachanga

046-Aayah Na Mafunzo: Watoto Watatu Ambao Waliongea Wakiwa Wachanga

Aayah Na Mafunzo

Aal-‘Imraan

Watoto Watatu Ambao Waliongea Wakiwa Wachanga

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ ﴿٤٦﴾

46. Na Atawasemesha watu katika utoto wake na utu uzima wake na ni miongoni mwa Swalihina.

 

Mafunzo:

 

Abuu Hurayrah (رضي الله عنه) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: “Hawakuongea watoto wachanga isipokuwa watatu; ‘Iysaa na (kisa cha Jurayj katika Baniy Israaiyl, na kisha cha farisi mzuri ambaye mama wa mtoto aliyeongea utotoni alitamani mwanawe awe kama yeye, lakini mtoto akatamka kukataa…” [Al-Bukhaariy (3436)].

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8127

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8127&title=046-Aayah%20Na%20Mafunzo%3A%20Watoto%20Watatu%20Ambao%20Waliongea%20Wakiwa%20Wachanga%20