Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 005-Al-Maaidah: Aayah Na Mafunzo > 050-Aayah Na Mafunzo: Watu Watatu Wenye Kuchukiza Zaidi Kwa Allaah

050-Aayah Na Mafunzo: Watu Watatu Wenye Kuchukiza Zaidi Kwa Allaah

Aayah Na Mafunzo

Al-Maaidah

Watu Watatu Wenye Kuchukiza Zaidi Kwa Allaah

Alhidaaya.com [1]

 

 

 أَفَحُكْمَ الْجَاهِلِيَّةِ يَبْغُونَ ۚ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللَّـهِ حُكْمًا لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ ﴿٥٠﴾

50. Je, wanataka hukumu

za kijahiliya? Na nani mbora zaidi kuliko Allaah katika kuhukumu kwa watu wenye yakini.

 

Mafunzo:

 

Ibn ‘Abbaas (رضي الله عنهما) amehadithia kwamba Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: “Watu wenye kuchukiza zaidi kwa Allaah ni; Mweye kufanya uovu katika Al-Haram (Makkah), mwenye kutafuta katika Uislamu mwenendo wa jaahiliyyah, (enzi za ujinga kabla ya Uislamu) na mwenye kutafuta damu ya mtu ili aimwage bila ya haki.” [Al-Bukhaariy].

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8208

Links
[1] http://alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8208&title=050-Aayah%20Na%20Mafunzo%3A%20Watu%20Watatu%20Wenye%20Kuchukiza%20Zaidi%20Kwa%20Allaah