Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Hukmu Mbali Mbali Za Swawm > 04-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Miji Ambayo Masaa ya kufunga Swawm Ni Marefu Sana

04-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Miji Ambayo Masaa ya kufunga Swawm Ni Marefu Sana

Miji Ambayo Masaa ya kufunga Swawm Ni Marefu Sana

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

SWALI:

 

Tuko katika Mji ambapo jua halizami mpaka saa 3:30 au 4:00 (saa tatu au saa nne) za usiku. Ni lini tunatakiwa tufungue Swawm?

 

JIBU:

 

Utafufungua Swawm kufuturu wakati jua linapozama. Maadamu tu mko na mchana na usiku kwa masaa 24, unawajibika kufunga swiyaam, hata kama masaa ni marefu kiasi gani.

 

[Fataawa Islaamiyah uk. 276, mj. 2]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8378

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8378&title=04-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Miji%20Ambayo%20Masaa%20ya%20kufunga%20Swawm%20Ni%20Marefu%20Sana