Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Kulipa Swawm Na Kafara: Hedhi, Mja Mzito, Kunyonyesha, Nifaas > 10-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Ametumia Vidonge Vya Kuzuia Mimba Je, Alipe Masiku Ya Hedhi Japokuwa Hakuona Damu?

10-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Ametumia Vidonge Vya Kuzuia Mimba Je, Alipe Masiku Ya Hedhi Japokuwa Hakuona Damu?

Ametumia Vidonge Vya Kuzuia Mimba Je Alipe Masiku Ya Hedhi Japokuwa Hakuona Damu? 

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

SWALI:

 

Mke wangu ametumia vidonge vya kuzuia mimba, na katika Ramadhwaan ya mwaka huu, ameendeleza kula dawa mpaka mwisho wa mwezi akisema kusudio lake akamilishe Swiyaam ili asifungulie.  Je anapaswa kulipa masiku ya hedhi japokuwa hakuona damu isipokuwa siku ya nne katika masiku ya ‘Iyd, basi je, inamlazimu afunge masiku hayo ambayo hakuwa akila?

 

 

JIBU:

 

Ikiwa hali na kama ilivyotajwa kwamba haikumtremkia mkewe damu ya hedhi katika mchana wa Ramadhwaan kwa sababu ya kutumia vidonge vya kuzuia mimba basi haiwajibiki kwake kulipa masiku hayo.

 

Wa bi-LLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyinaa Muhammad wa ‘alaa Aalihi wa Swahbihi wa sallam

 

 

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (16264)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8443

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8443&title=10-Al-Lajnah%20Ad-Daaimah%3A%20Ametumia%20Vidonge%20Vya%20Kuzuia%20Mimba%20Je%2C%20Alipe%20Masiku%20Ya%20Hedhi%20Japokuwa%20Hakuona%20Damu%3F%20%20