Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Yanayobatilisha Na Yasiyobatilisha Swawm > 06-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Akijitoa Manii Swawm Inabatilika Na Je, Anawajibika Kafara?

06-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Akijitoa Manii Swawm Inabatilika Na Je, Anawajibika Kafara?

Akijitoa Manii Swawm Inabatilika Na Je, Anawajibika Kafara?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

SWALI:

 

Je, kutoa manii kunabatilisha Swawm? Na je, anapaswa kulipa kafara?

 

 

JIBU:

 

Mtu akitoa manii Swawm yake inabatilika, inabatilika na mtu analazimika kulipa siku hiyo na kufanya tawbah [kwa kuwa ni haramu].

 

Kulipa kafara ni pindi mtu anapofanya jimai wakati wa Swawm.

 

 

[Imaam Muhammad Swaalih Ibn 'Uthaymiyn - Fataawa Arkaanil-Islaam, uk. 478]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8450

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8450&title=06-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Akijitoa%20Manii%20Swawm%20Inabatilika%20Na%20Je%2C%20Anawajibika%20Kafara%3F