Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Yanayobatilisha Na Yasiyobatilisha Swawm > 07-Imaam Ibn ‘Uthyamiyn: Akimeza Maji Bila Kukusudia Kutokana Na Kusukutua Swawm Yake Inabatilika?

07-Imaam Ibn ‘Uthyamiyn: Akimeza Maji Bila Kukusudia Kutokana Na Kusukutua Swawm Yake Inabatilika?

Akimeza Maji Bila Kukusudia Kutokana Na Kusukutua Swawm Yake Inabatilika?

 

Imaam Ibn ‘Uthyamiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

SWALI:

 

Je, Swawm ya mfungaji inabatilika ikiwa atasukutua kinywa au pua na kwa bahati mbaya akameza maji?

 

JIBU:

 

Aliyekuwa katika swawm akaukutua kinywa au pua na maji yakamuingia, Swawm yake haibatiliki, kwa kuwa hakukusudia hilo. Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Anasema:

 

وَلَـٰكِن مَّا تَعَمَّدَتْ قُلُوبُكُمْ ۚ

lakini isipokuwa katika yale yaliyoyakusudia nyoyo zenu  [Al-Ahzaab 33;5]

 

[Imaam Muhammad  Swaalih Ibn 'Uthaymiyn -  Fiqhul-'Ibaadat, uk. 253]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8451

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8451&title=07-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthyamiyn%3A%20Akimeza%20Maji%20Bila%20Kukusudia%20Kutokana%20Na%20Kusukutua%20Swawm%20Yake%20Inabatilika%3F