Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Hukmu Mbali Mbali Za Swawm > 16-Imaam Ibn Baaz: Anayemuona Mtu Anakula Ramadhwaan Kwa Kusahau Amkumbushe?

16-Imaam Ibn Baaz: Anayemuona Mtu Anakula Ramadhwaan Kwa Kusahau Amkumbushe?

 

Anayemuona Mtu Anakula Ramadhwaan Kwa Kusahau Amkumbushe?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

SWALI:

 

Je, nimkumbushe mtu ambaye anakula na kunywa (Ramadhwaan) kwa kusahau?

 

 

JIBU:

 

Ndiyo, anatakiwa amtanabahishe ikiwa anamuona mtu huyo  anakula au kunywa na amwambie “Wewe umefunga”. Amtanabahishe kwa sababu ni munkari, munkari ulio wazi.

 

Hata kama mtu ni mwenye kughufuriwa kwa sababu ya kusahau kwake, si katika wakati ule. Anatakiwa kukumbushwa mtu kama huyo.

 

 

[Nuwr 'Alaa Ad-Darb, Fatwa na. 9834]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8560

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8560&title=16-Imaam%20Ibn%20Baaz%3A%20Anayemuona%20Mtu%20Anakula%20Ramadhwaan%20Kwa%20Kusahau%20Amkumbushe%3F