Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa > 07-Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Anayepitwa Na Rakaa Ya Swalaah Ya Ijumaa

07-Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Anayepitwa Na Rakaa Ya Swalaah Ya Ijumaa

 

Hukmu Ya Anayepitwa Na Rakaa Ya Swalaah Ya Ijumaa

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Anayepitwa na Rakaa katika Swalaah ya Ijumaa, na akaipata Rakaa nyingine, basi aiswali ile Rakaa (iliyompita) na hivyo atakuwa amepata Ijumaa kwa sababu limesihi kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hilo.

 

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/225)]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8803

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8803&title=07-Swalaah%20Ya%20Ijumaa%3A%20Hukmu%20Ya%20Anayepitwa%20Na%20Rakaa%20Ya%20Swalaah%20Ya%20Ijumaa