Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 007-Al-A'Raaf: Aayah Na Mafunzo > 181-Aayah Na Mafunzo: Kundi Katika Ummah Huu Watabakia Katika Haki Mpaka Siku Ya Qiyaamah

181-Aayah Na Mafunzo: Kundi Katika Ummah Huu Watabakia Katika Haki Mpaka Siku Ya Qiyaamah

 

Aayah Na Mafunzo

 

www.alhidaaya.com [1]

 

Al-A’raaf 181

 

181-Kundi Katika Ummah Huu Watabakia Katika Haki Mpaka Siku Ya Qiyaamah

 

 

Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

 

وَمِمَّنْ خَلَقْنَا أُمَّةٌ يَهْدُونَ بِالْحَقِّ وَبِهِ يَعْدِلُونَ ﴿١٨١﴾

Na katika Tuliowaumba, wako ummah wanaoongoza kwa haki na kwayo wanahukumu kiadilifu. [Al-A'raaf: 181]

 

 

Mafunzo:

Amesimulia Mu’aawiyah bin Abiy Sufyaan (رضي الله عنه) : Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: “Kutakuweko kundi katika Ummah wangu litaendelea kuwa juu ya haki likiwa na nguvu, hawezi kuwadhuru yeyote aliyekwenda nao kinyume au aliyesaliti mpaka Siku ya Qiyaamah.” [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9021

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9021&title=181-Aayah%20Na%20Mafunzo%3A%20Kundi%20Katika%20Ummah%20Huu%20Watabakia%20Katika%20Haki%20Mpaka%20Siku%20Ya%20Qiyaamah