Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Twawaaf Na Sa'y > 06-Imaam Ibn Baaz: Kulazimika Kuswali Rakaa Mbili Nyuma Ya Maqaam Ibraahiym

06-Imaam Ibn Baaz: Kulazimika Kuswali Rakaa Mbili Nyuma Ya Maqaam Ibraahiym

 

Kulazimika Kuswali Rakaa Mbili Nyuma Ya Maqaam Ibraahiym 

 

 Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

 

Je, ni lazima kuswali Rakaa mbili baada ya kumaliza twawaaf nyuma ya Maqaam Ibraahiym? Nini hukmu ya mwenye kusahau kuziswali?

 

JIBU:

 

 

Sio lazima kuswali Rakaa mbili nyuma ya Maqaam Ibraahiym, bali inakuwa ni sahihi hata akiswali mtu popote kwengine katika Masjidul-Haraam. Vile vile hakuna madhara kwa anayesahau kuziswali kwani hizo ni Sunnah na sio fardhi.

 

 Wa biLLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyina Muhammad wa aalihi wa Swahbihi wa sallam.

 

[Fataawa al-Hajj wal-'Umrah waz-Ziyaarah uk. 81]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9246

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9246&title=06-Imaam%20Ibn%20Baaz%3A%20Kulazimika%20Kuswali%20Rakaa%20Mbili%20Nyuma%20Ya%20Maqaam%20Ibraahiym%20%20