Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Zawadi Kwa Wanandoa > 07-Zawadi Kwa Wanandoa: Wasia Wa Baba Kwa Binti Yake

07-Zawadi Kwa Wanandoa: Wasia Wa Baba Kwa Binti Yake

 

Zawadi Kwa Wanandoa

 

07- Wasia Wa Baba Kwa Binti Yake    

 

وصيّة الأب ابنته

  

 

 

'Abdullaah bin Ja'far bin Abi Twaalib amemuusia binti yake kwa kumuambia, ‘Ole wako na wivu, nao ni ufunguo wa Talaka. Na ole wako na malalamiko mengi, nayo hupelekea katika bughudha. Na jitie wanja kwani huko ndiko kujipamba kuzuri zaidi. Na kizuri katika vizuri zaidi ni Maji.’

 

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9428

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9428&title=07-Zawadi%20Kwa%20Wanandoa%3A%20Wasia%20Wa%20Baba%20Kwa%20Binti%20Yake%20