Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Zawadi Kwa Wanandoa > 23-Zawadi Kwa Wanandoa: Kuoga Katika Chombo Kimoja

23-Zawadi Kwa Wanandoa: Kuoga Katika Chombo Kimoja

 

Zawadi Kwa Wanandoa

 

23-Kuoga Katika Chombo Kimoja

 

 الإغتسال من إناء واح

 

Inajuzu kwa wanandoa wawili kuoga pamoja katika sehemu moja, imepokewa kutoka kwa 'Aaishah (Radhiya Allaahu 'anha)  amesema:

“Nilikuwa nikioga mimi na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam)  katika chombo kimoja, inapishana mikono yetu ndani yake, na ananianza kwa hilo hadi nasema: niachie … niachie. Akaendelea kusema Bibi 'Aaishah wakiwa hivyo hali ya kuwa ni wenye janaba.” (Muslim)

Share [1]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9462

Links
[1] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9462&title=23-Zawadi%20Kwa%20Wanandoa%3A%20Kuoga%20Katika%20Chombo%20Kimoja