SWALI:
Wakati mwanamke nishamposa na nimeshamtolea mahari nina haki yoyote ile ya kumwambia kitu mfano asitoke kila wakati na je yeye ana haki yoyote ile kwa kumwambia mchumba wake kitu chochote kile? - Ni haki kumchezea mkeo mwili wake wote? Natumai nitapata jibu zuri
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kumdhibiti mke baada ya kumtolea mahari. Mambo ya kijamii na hasa ya ndoa ni nyeti
Jambo ambalo unaweza kufanya ni kuweza kukubaliana wakati wa posa pamoja na wazazi wake kuhusu
Ama kuhusu mkeo ni ruhusa kabisa kuchezea naye mwili wake wote
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/56
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3531&title=Akishatoa%20Mahari%20Anayo%20Haki%20Kumuamrisha%20Au%20Kumkataza%20Jambo%20Kwa%20Aliyemchumbia%3F