SWALI:
mehamia nyumba mpya imetokezea moto juu ya mlango, na umetokezea
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Hatuwezi kujua sababu ya moto huo, huenda ikawa ni tatizo la umeme. Hakikisha tatizo
Nyiradi Za Asubuhi Na Jioni [2]
Anachosema kwa ajili ya kurudisha (kuzuwia) vitimbi vya mashetani wabaya. [3]
Kisha soma Swali na Jibu lifuatalo upate maelezo ya kuhamia katika nyumba mpya lenye du'aa na nyiradi za kusoma:
Unapohamia Katika Nyumba, Unatakiwa Usome Au Kufanya Chochote [4]
Tunakuombea kila la kheri katika nyumba yako mpya, kheri na Baraka.
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/213
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1154
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1258
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1845
[5] https://www.addtoany.com/share#url=http%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4082&title=Amehamia%20Nyumba%20Mpya%20Na%20Kumetokea%20Moto%20Baada%20Ya%20Usiku%20Wake%20Kusomwa%20Qur-aan%2C%20Ni%20Nini%3F