Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn Rajab: Maana Ya “Muhifadhi Allaah, Naye Atakuhifadhi”

Imaam Ibn Rajab: Maana Ya “Muhifadhi Allaah, Naye Atakuhifadhi”

Kauli Za Salaf: 'Aqiydah-Tawhiyd [1]

Maana Ya “Muhifadhi Allaah, Naye Atakuhifadhi”

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Muhifadhi Allaah, Atakuhifadhi, maana yake; hifadhi haki Zake. Na kubwa kabisa linalopaswa kuhifadhiwa ni Swalaah, kama Alivyosema Allaah (Ta’aalaa): “Na ambao kwenye Swalaah zao ni wenye kuhifadhi.” [Al-Ma’aarij: 34]”

 

 

[Jaami’u Al-‘Uluwm Wal-Hikam, uk. 549]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8755

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/224
[2] http://www.alhidaaya.com/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8755&title=Imaam%20Ibn%20Rajab%3A%20Maana%20Ya%20%E2%80%9CMuhifadhi%20Allaah%2C%20Naye%20Atakuhifadhi%E2%80%9D