Nasiha Ya Ijumaa
Amali Za Kutenda Na Mambo Ya Kujiepusha Nayo Katika Mwezi Mtukufu Wa Rajab
AlhamduliLLaah. Inapasa tumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Kutupa umri hadi kutufikisha katika mwezi huu mtukufu wa Rajab ambao ni fursa kwetu kutenda mema yatakayotuchumia thawabu nyingi kuliko miezi mingine. Mema ambayo hatuna budi kuyatenda kwa ajili ya kujenga Aakhirah yetu kabla ya siku hii kufika. Siku ambayo hakuna mmoja wetu yeyote atakayeweza kuikwepa. Basi hebu kila mmoja wetu ajiulize: "Nimetanguliza nini kwa ajili ya siku hiyo?" Siku ambayo safari yake ni ndefu mno. Mahmaa tutakavyobeba zawadi huko hazitoshi wala hatuna hakika nazo
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):
(( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَلْتَنظُرْ نَفْسٌ مَّا قَدَّمَتْ لِغَدٍ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ خَبِيرٌ بِمَا تَعْمَلُونَ))
((Enyi mlioamini! Mcheni Allaah,, na kila nafsi iangalie inayoyatanguliza kwa ajili ya Kesho. Na mcheni Allaah, Hakika Allaah, Anazo khabari ya mnayoyatenda)) [Al-Hashr: 18]
Mpya - Makala
- Mwezi Wa Rajab: Fadhila Zake Na Yaliyozuliwa Ndani Yake -- Uzushi na Maovu
- Bid’ah – Vipengele Vyake, Madhara Na Ufumbuzi -- Uzushi na Maovu
- Bid'ah - Uzushi Katika Dini -- Uzushi na Maovu
- Maisha Ya Kaburini (Yanapoanza Maisha Ya Barzakh) -- 'Aqiydah-Tawhiyd
- Ndoa Changa Ya Mama Wa Waumini 'Aaishah (Radhiya Allaahu 'anha) - 3 -- Sunnah - Siyrah
Sikiliza Mawaidha Na Qur-aan
Mpya - Maswali
TAFADHALI SOMA MAELEZO MUHIMU KABLA YA KUTUMA MASWALI
1- Tunasikitika kuona kwamba Maswali mengi yanayotumwa na baadhi ya ndugu zetu yameshaulizwa kabla na kujibiwa. Wenye kutuma Maswali mnaombwa kwanza kutafuta Maswali na Majibu yenu katika milango (categories) inayohusika kwani mengi mno yameshaulizwa na kujibiwa. Mnaweza pia kutafuta Maswali kwa kuweka maneno machache ya maudhui unayotaka kuuliza katika 'Search'. Kufanya hivyo, mtaweza kupata majibu kwa haraka zaidi na pia mtahifadhi muda wenu na wetu.
2- Ikiwa unataka kutuma maswali zaidi ya moja tafadhali tuma KILA SWALI katika barua ya pekee na uweke maudhui (Subject) iliyo wazi ili iwe wepesi kufuatilia na kuweza kukujibuni haraka.
Tunatumai kupata ushirikiano wenu mwema ili mtufanyie wepesi hizi kazi ambazo ni nyingi sana khaswa za Maswali na watendaji ni wachache sana.
Jazaakum Allaahu Khayra.
- Sababu Za Kuwa Na Miezi Mitukufu -- Taqwa - Tazkiyyah
- Vipi Kutia Niya Ya Ibada Kama Swawm? -- Swaum
- Wakati Wa Swalah Ya Tahajjud Na Vipi Kuswali -- Swalah-Sunnah
- Je, Anaweza Kuchelewa Kuoga Josho? -- Twahara
- Vipi Kutia Niya Ya Ibaada? -- Fiqhi
- Du’aa Gani Ya Kuwaombea Wazazi Waliofariki Zamani? -- Mchanganyiko
- Nani Mwenye Haki Zaidi Kwa Mtoto Wa Kike Baba Au Mume? -- familia-Jamii
- Swiyghah (Maneno) Ya Wakati Wa Kufungisha Ndoa Ni Yepi? -- Nikaah na Shariyah Zake
Mpya Mapishi
-
Saladi Ya Mahindi -- Saladi Na Sosi
-
Pilau Ya Bilingani Na Kuku -- Chakula Kikuu
-
Slesi Za Jibini Ya Mozzarella Na Thomu -- Mikate
-
Shawarma Ya Kuku (Mexican) -- Vitafunio
-
Aiskrimu Ya Kokteli Ya Vanilla -- Kitindamlo
-
Pai Ya Viazi Na Nyama Ya Kusaga -- Pasta
-
Juisi Ya Nanasi Na Tango -- Juisi


