Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Du’aa Kumuombea Mzazi Aliyefariki Katika Swalaah Ni Bora Kuliko Kumchinjia Mnyama

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Du’aa Kumuombea Mzazi Aliyefariki Katika Swalaah Ni Bora Kuliko Kumchinjia Mnyama

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn [1]

 

 

Du’aa Kumuombea Mzazi (Aliyefariki) Katika Swalaah Ni Bora Kuliko Kumchinjia Mnyama

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [2]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amejibu alipoulizwa swali kuhusu kumchinjia mzazi aliyefariki, Akajibu:

 

“Du’aa yako kumuombea mzazi wako (aliyefariki) katika Swalaah ya Taraawiyh au Swalaah ya Tahajjud ni bora zaidi kuliko kumchinjia mzazi wako ngamia kumi wa kike.”

 

 

[Liqaau Al-Baab Al-Maftuwh (115)]

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10024

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/206
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10024&title=Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Du%E2%80%99aa%20Kumuombea%20Mzazi%20Aliyefariki%20Katika%20Swalaah%20Ni%20Bora%20Kuliko%20Kumchinjia%20Mnyama