Hukmu Ya Kutawassal Kwa Aliyehai Na Aliyefariki
Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn
Hukmu Ya Kutawassal Kwa Aliyehai Na Aliyefariki
Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Haijuzu Kusema Yametaka Makadirio Au Zimetaka Zama
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Siku Ya Kuzaliwa Nabiy Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam Haijulikani
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah).
Yangelikuwa Maulidi Ni Katika Ukamilifu Wa Dini Yangekuweko Kabla Ya Kufariki Kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymin (Rahimahu Allaah) amesema:
Haijuzu Kuswali Kwa Kumfuata Imaam Kupitia Redio Au Televisheni
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Haijuzu mtu kumfuata Imaam kupitia redio au televisheni kwa sababu Swalaah ya Jamaa'ah inakusudiwa mkusanyiko, basi hakuna budi iwe katika sehemu moja au kuunganisha safu moja baada ya nyingine.
Wala Swalaah haijuzu kupitia viwili hivyo (redio na televisheni) kwa sababu ya kutopatikana malengo yake.
Aanze Swiyaam Za ‘Aashuraa Au Alipe Swiyaam Za Ramadhwaan?
Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
SWALI:
Swiyaam Za Al-Muharaam Ni Kufunga Mwezi Mzima? Au Nitakuwa Nimezusha?
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
SWALI:
Je kuna fadhila za Swiyaam mwezi mzima wa Al-Muharram? Na je nikifunga nitakuwa nimezusha?
JIBU:
‘Awrah Ya Mwanamke Mbele Ya Mahaarim Wake
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
SWALI:
Kipi kiasi kinachochukuliwa kuwa ni 'awrah kwa mwanamke awapo na wajomba zake kwa upande wa mama, wajomba zake upande wa baba na ndugu zake, nyumbani?
JIBU: