Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Nasiha Na Ukumbusho: Swawm Tarehe 9 Na 10 Al-Muharram Inafuta Madhambi Ya Mwaka Mzima!

Nasiha Na Ukumbusho: Swawm Tarehe 9 Na 10 Al-Muharram Inafuta Madhambi Ya Mwaka Mzima!

Mafunzo Ya Minasaba [1]

 

 

Nasiha Na Ukumbusho Wa Swawm

Siku Ya Taasu'aa (9) Na 'Aashuraa (10)

 

 Alhidaaya.com [2]

 

  

Nasiha: Swiyaam Tarehe 9 na 10 Al-Muharram zimesisitizwa na fadhila zake  ni kufutiwa madhambi ya mwaka mzima kwa dalili kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam):

 

((صِيَامُ يَوم عاشوراء إنِّي أحْتَسبُ علَى اللهِ أن يُكفِّرَ السَّنةَ التِي قبلَه)) رواه مسلم

"Swawm ya siku ya 'Ashuraa, nategemea kutoka kwa Allaah Ayafute madhambi ya mwaka uliotangulia." [Muslim]

 

 

Asiyejaaliwa  kufunga tarehe 9 basi asikose Swawm ya tarehe 10 Al-Muharram pekee.

 

Bonyeza viungo vifuatavyo upate faida tele kuhusiana na Fadhila Za Mwezi wa Al-Muharram na Swiyaam zake:

 

Hukmu Ya Swawm Ijumaa Ikiwa Ni Siku Ya 'Arafah Au 'Aashuraa [3]

 

 

Ukumbusho Wa Kukithirisha Swawm Mwezi wa Al-Muharram Na Swiyaam Ya Taasu'aa na 'Aashuraa (9 na 10 Al-Muharram) Pamoja Na Masiku Mengineyo) [4]

 

 

Fadhila Za Mwezi Wa Al-Muharam Na Siku Ya 'Aashuraa Na Bid'ah Zake [5]

 

 

Fadhila Za Swiyaam Za Fardhi Na Za Sunnah [6]

 

 

 

Wa biLLaahi At-Tawfiyq

 

Share [7]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10052

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/287
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/
[3] http://alhidaaya.com/sw/node/557
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/8750
[5] http://alhidaaya.com/sw/node/2475
[6] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9480
[7] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10052&title=Nasiha%20Na%20Ukumbusho%3A%20Swawm%20Tarehe%209%20Na%2010%20Al-Muharram%20Inafuta%20Madhambi%20Ya%20Mwaka%20Mzima%21%20