Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Shaykh Fawzaan: Miongoni Mwa Sababu Za Kuthibiti Kwa Dini Ni Kufanya Urafiki Na Swalihina

Shaykh Fawzaan: Miongoni Mwa Sababu Za Kuthibiti Kwa Dini Ni Kufanya Urafiki Na Swalihina

Kauli Za Salaf: Jamii [1]

 

Miongoni Mwa Sababu Za Kuthibiti Kwa Dini Ni Kufanya Urafiki Na Swalihina 

 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

 

 

Amesema Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)

 

Usuhuba na waja wema hufaidika nao hata wanyama. Kama ilivyotokea kwa yule mbwa aliyekuwa pamoja na watu wa Al-Kahf (Aswhaabul Kahf), hivyo hata zile Baraka zilimhusisha (yeye mbwa).

 

[Al-Khutwbah Al-Minbariyyah uk 114]

 

 

 

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10784

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/230
[2] http://www.alhidaaya.com/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10784&title=Shaykh%20Fawzaan%3A%20Miongoni%20Mwa%20Sababu%20Za%20Kuthibiti%20Kwa%20Dini%20Ni%20Kufanya%20Urafiki%20Na%20Swalihina%20%20