Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Miongoni Mwa Alama Za Watu Wa Bid’ah Ni Taasubu (Kasumba) Na Kupinga Haki

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Miongoni Mwa Alama Za Watu Wa Bid’ah Ni Taasubu (Kasumba) Na Kupinga Haki

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn [1]

 

Miongoni Mwa Alama Za Watu Wa Bid’ah Ni Taasubu (Kasumba) Na Kupinga Haki

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Ahlul-Bid’ah (watu wa bid’ah) wana alama kadhaa; miongoni mwazo ni kwamba wana taasubu (kasumba) katika rai zao wala hawarudi katika haki hata kama itawabainikia.”

 

[Majmuw’ Fataawaa wa Rasaail Ibn ‘Uthaymiyn (5/90)]

 

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10817

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/206
[2] http://www.alhidaaya.com
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10817&title=Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Miongoni%20Mwa%20Alama%20Za%20Watu%20Wa%20Bid%E2%80%99ah%20Ni%20Taasubu%20%28Kasumba%29%20Na%20Kupinga%20Haki