Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Tahadhari Na Misemo Ya Kimakosa Makubwa. Kusema: “Sunnah ya Allaah na Rasuli” Katika Yasiyomhusu Allaah

Tahadhari Na Misemo Ya Kimakosa Makubwa. Kusema: “Sunnah ya Allaah na Rasuli” Katika Yasiyomhusu Allaah

Shirki-Kufru [1]

 

Tahadhari Na Misemo Ya Kimakosa Makubwa

 

Kusema: “Sunnah ya Allaah na Rasuli” Katika Yasiyomhusu Allaah

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

Kusema “Sunnah ya Allaah na Rasuli.” Usemi huu unatumiwa na baadhi ya wanaume wanapotaka kuongeza mke.

 

 

Haijuzu kwa sababu kuoa ni kwa wanaadam pekee na si Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ambaye Hahitaji mke wala mwana wala kuwa na mshirika!

 

Kwa hiyo la sahihi kumhusisha Rasuli pekee (Swalla Allaahu Alayhi wa aalihi wa sallam) kwa kusema: "Sunnah ya Rasuli"

 

 

 

 

 

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11933

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/243
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11933&title=Tahadhari%20Na%20Misemo%20Ya%20Kimakosa%20Makubwa.%20Kusema%3A%20%E2%80%9CSunnah%20ya%20Allaah%20na%20Rasuli%E2%80%9D%20Katika%20Yasiyomhusu%20Allaah