SWALI:
Naomba kuuliza maswali mawili kuhusiana na maiti kwa vile nimependezewa sana na uchambuaji wa namna mnavyojibu mas-al na InshaAllaah ALLAAH (SW) awazidishie ilmu mtufumbue macho na sisi.
1. Je, ni maiti wa aina gani wakiiislam ambae hafai kuswaliwa kabla ya kuzikwa tukiachilia mbali yule ambae keshaharibika kwa kuoza
Majibu naomba yawe na ushahidi wa mambo mawili:-
1. QUR’AN AU
2. HADITH SAHIHI
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Asli katika sheria yetu tukufu ni kuwa Muislamu yeyote anapofariki ni wajibu kwa jamii ya Kiislamu kumuosha, kumkafini, kumswalia na kumzika. Hizi ni amali ambazo ni Fardhi Kifaya kwa itifaki ya wanachuoni. Amali hizo zikitekelezwa na baadhi ya Waislam wao watapata thawabu na ambao hawakutekeleza hawana dhambi lakini iwapo jamii itakosa kufanya hayo basi jamii nzima ipo katika dhambi.
Ama kuhusu maswali yako ni kuwa Qur-aan haijatutajia kuhusu mas-ala ya kuswaliwa maiti na hukumu zake. Majibu katika masuala haya tunayapata katika Sunnah za Bwana Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), kauli za Maswahaba na wanachuoni wema wenye ilimu na ikhlaas. Miongoni mwa maiti wa Kiislam ambaye huzikwa bila ya kuswaliwa ni:
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/77
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1568&title=Maiti%20Asiyefaa%20Kuswaliwa