Maswali: Swalah Ya Maiti
Swalaatul-Ghaaib: Kumswalia Swalaah Maiti Aliyefia Mbali
SWALI:
Je inafaa kwa waisilam kumsalia maiti ikiwa hayupo mbele yao? Ama kuwa nchi nyengine au sehemu nyengine mji ulele.
JIBU:
Swalah Ya Maiti
Swalaatul-Ghaaib: Kumswalia Swalaah Maiti Aliyefia Mbali
SWALI:
Je inafaa kwa waisilam kumsalia maiti ikiwa hayupo mbele yao? Ama kuwa nchi nyengine au sehemu nyengine mji ulele.
JIBU:
Maiti Aliyekwishaswaliwa Anafaa Kuswaliwa Tena?
SWALI:
Naomba kuuliza maswali mawili kuhusiana na maiti kwa vile nimependezewa sana na uchambuaji wa namna mnavyojibu mas-al na In shaaAllaah ALLAAH awazidishie ilmu mtufumbue macho na sisi.
2 -Je, maiti ambae ameshaswaliwa kule ambako amezikwa jee inafaa kumswalia tena sehemu nyengine?
Majibu naomba yawe na ushahidi wa mambo mawili:-
1. Quraan
2. Hadithi Sahihi
JIBU: