Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Wudhuu Unatenguka Ukishika Damu Wakati Wa Kukata Nyama?

Wudhuu Unatenguka Ukishika Damu Wakati Wa Kukata Nyama?

Maswali: Twahara Wudhuu [1]

     

SWALI:

 

asalam aleykum.kwanza kabisa namishukuruni kwa kutusaidia na kutujibu maswali yetu yanayo tupa matata.Mungu amijalie kila la kheri.swali langu mimi nikiwa na udhuu halafu nikikata kata nyama ina damu je udhuu wangu ninao?au mpaka nitawadhe tena?

 


 

JIBU:

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola  wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho

 

Tumepokea Swali lako na jibu ni kwamba kukata nyama damu ikakakugusa sio jambo la kuvunja wudhuu.

Ingia katika viungo vifuatavyo ambavyo vina maelezo kamili ya yale yanayovunja wudhuu.

 

 

026 Yanayotengua Wudhuu -1 [2]

027 Yanayotengua Wudhuu - 2 [3]

028 Yanayotengua Wudhuu - 3 [4]

029 Yanayotengua Wudhuu - 4 [5]

030 Yasiyotengua Wudhuu [6]

031- Wudhuu Unapasa Kwa Ajili Ya Swalah Basi Na Si Vinginevyo [7]

Wudhuu Unatenguka Akimgusa Mkewe? [8]

 

Wudhuu Unavunika Ikiwa Hukujifunika Vizuri? [9]

 

Je, Usingizi Unavunja Wudhuu? [10]

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

 

Share [11]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1821

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/138
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2037
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2073
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2111
[5] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2448
[6] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2454
[7] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2497
[8] http://www.alhidaaya.com/sw/node/374
[9] http://www.alhidaaya.com/sw/node/381
[10] http://www.alhidaaya.com/sw/node/382
[11] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1821&title=Wudhuu%20Unatenguka%20Ukishika%20Damu%20Wakati%20Wa%20Kukata%20Nyama%3F%20