SWALI:
Mzee mmoja alikuwa na watoto wawili wakiume, kisha wale vijana wakatafuta wachumba na wachumba walio wapata ni ndugu. Ikawa kwa kila mchumba ni mwenye kutowa mahari kisha ndoa zikafungwa, Ilipofika usiku wakawa ni wenye kuletewa wake zao lakini wale waliowaletea wake zao wakawa ni wenye kuchangaya, mke wa huyu wakampeleka huyu na huyu mke wake wakampeleka kwa huyu, na kila mmoja akalala naye mpaka asubuhi, kunako hili jambo ktk dini hukumu yake ni ipi?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani kutoka kwetu za dhati kwa ndugu yetu kuhusu swali lako
Tunasema ni ajabu kwani ingekuwa wanandoa wamefuata Sunnah za bwana Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) basi tatizo
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ametuachia maagizo kadhaa kuhusu mahusiano baina ya wanaotakana kuingia katika ndoa wafanye. Moja katika
Usiku wa harusi (baada ya Nikaah), mume anafaa amwekee mkewe mkono wa kichwa kisha aombe du’aa aliyoifundisha Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Allaahumma inniy as-aluka khayraha wa khayra maa jabaltaha ‘alayhi wa a‘udhubika min sharrihaa wa sharri maa jabaltaha ‘alayhi – Ee Allaah, hakika mimi nakuomba kheri ya mke huyu na kheri ya maumbile uliyomuumba nayo, na najilinda Kwako na shari yake, na shari ya maumbile uliyomuumba nayo” (Abu Daawuud na Ibn Maajah). Hili linafanyika katika weupe na sio kiza totoro.
Inafaa mume ampatie mkewe kinywaji
Swali ni kuwa je, haya yote yalifanywa kizani au hayakufanywa? Ikiwa yalifanywa vipi tena walichanganyiwa wake. Ikiwa walikuwa wameonana na kuzungumza kabla ya usiku huo mambo yote yatawafahamisha
Kosa
Ikiwa jambo
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/56
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2100&title=Mabwana%20Harusi%20Walichanganyiwa%20Wake%20Zao