Steki Ya Ng’ombe Na Mifupa Ya B.B.Q (T-Bone Steak)
Vipimo
Nyama ya T-Bone Steak - 15 Ratili (LB)
Pilipili mbichi - 5
Tangawizi mbichi - 1
Kitunguu saumu (thomu/galic) - 1 Uwa/msongo (bunch)
Jiyra/Cummin (bizari ya pilau) - 1 kijiko cha supu
Pilipili nyekundu ya unga - 1 kijiko cha supu
*Sosi ya B.B.Q - 1 kikombe
Kilainisho cha nyama (meat tenderizer) - 1 kijiko cha chai
Ndimu - ¼ kikombe
Chumvi - kiasi
Mafuta ya kupakiapakia wakati wa kuchoma
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
1-Ukikos sosi ya B.B.Q inayouzwa tayari madukani, tayarisha Sosi ya ukwaju inayopatikana katika kiungo kifuatacho:
Sosi Ya Ukwaju [2]
2- Nzuri kutolewa na mikate ya Pita Pan au Naan na sosi ya hummus inayopatikana katika kiungo kifuatacho
Hummus (Shaam) [3]
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/2954
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1886
[4] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4855&title=Steki%20Ya%20Ng%E2%80%99ombe%20Na%20Mifupa%20Ya%20%20B.B.Q%20%28T-Bone%20Steak%29