Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Swalaatul-Ghaaib: Muda Wa Kumswalia Maiti Swalaah Ya Ghaibu

Swalaatul-Ghaaib: Muda Wa Kumswalia Maiti Swalaah Ya Ghaibu

Maswali: Swalah Ya Maiti [1]

SWALI

 Na kama kutatokea kufiwa na mtu wako alie mbali, jee infaa kumsalia siku yoyote hata kama kishazikwa.

 


JIBU:

Wanachuoni wanaonelea kuwa inafaa ikiwa hajaswaliwa na usipite muda mrefu sana, kama alivyofanya Mtume  صلى الله عليه وآله وسلم . kumswalia mama aliyekuwa akisafisha Msikiti.  

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/587

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/77
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F587&title=Swalaatul-Ghaaib%3A%20Muda%20Wa%20Kumswalia%20Maiti%20Swalaah%20Ya%20Ghaibu