Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Shaykh Fawzaan: Haitoshi Kuwa Na Elimu Pekee

Shaykh Fawzaan: Haitoshi Kuwa Na Elimu Pekee

Kauli Za Salaf: ‘Ilmu-Da’wah [1]

 

Haitoshi Kuwa Na 'Ilmu Pekee

 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu hu Allaah) amesema:

 

"Haitoshi mwana Aadam kuwa ana 'Ilmu (elimu ya Shariy'ah) na anajifunza, bali anapaswa kuifanyia kazi 'Ilmu yake. 'Ilmu bila matendo, hakika hiyo ni hoja dhidi ya mwana Aadam.

Haiwezi kuwa 'Ilmu ni yenye manufaa isipokuwa kwa matendo."

 

 

[Sharh Thalaathat Al-Uswuwl, uk. 16]

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7380

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/223
[2] http://www.alhidaaya.com/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7380&title=Shaykh%20Fawzaan%3A%20Haitoshi%20Kuwa%20Na%20Elimu%20Pekee