Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 06-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Damu Inayotoka Puani Inabatilisha Swawm?

06-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Damu Inayotoka Puani Inabatilisha Swawm?

 

06-Damu Inayotoka Puani Inabatilisha Swawm?

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

SWALI:

 

Damu kidogo sana kama vile tone likitoka kwa mwanamke mchana wa Ramadhwaan na damu hii ikaendelea Ramadhwaan nzima ilhali anafunga, Je, Swawm yake itasihi?

 

 

JIBU:

 

Naam. Swawm yake itasihi. Ama tone hili au alama hii si kitu bali ni kama jasho tu, imepokewa kutoka kwa 'Aliy bin Abi Twaalib (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa amesema: “Kwa hakika nukta au tone hili ni kama vile Riaaf al-anfu sio hedhi. Hivi imetajwa kutoka kwake (Radhwiya Allaahu 'anhu).

 

 

Maana ya Riaaf al-anf: Ni damu inayotoka puani.

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10075

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10075&title=06-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Damu%20Inayotoka%20Puani%20Inabatilisha%20Swawm%3F