Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 09-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Akiona Damu Isiyothibitika Kuwa Ni Hedhi Nini Hukmu Ya Swawm Yake?

09-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Akiona Damu Isiyothibitika Kuwa Ni Hedhi Nini Hukmu Ya Swawm Yake?

 

09-Akiona Damu Isiyothibitika Kuwa Ni Hedhi Nini Hukmu Ya Swawm Yake

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Mwanamke akiona damu lakini hakuthibitisha au kuwa na hakika kuwa ni damu ya hedhi. Ni nini hukumu ya Swawm yake siku ile?

 

 

JIBU:

 

 

 

Swawm yake siku ile ni sahihi kwani asili ya jambo ni kuwa hana hedhi hadi athibitishe kuwa ana hedhi.

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10078

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10078&title=09-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Akiona%20Damu%20Isiyothibitika%20Kuwa%20Ni%20Hedhi%20Nini%20Hukmu%20Ya%20Swawm%20Yake%3F