Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 11-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wenye Hedhi Na Nifaas Wanaruhusiwa Kula Mchana Wa Ramadhwaan

11-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wenye Hedhi Na Nifaas Wanaruhusiwa Kula Mchana Wa Ramadhwaan

 

11-Wenye Hedhi Na Nifaas Wanaruhusiwa Kula Mchana Wa Ramadhwaan

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Je Mwenye hedhi na Nifasi wanaruhusiwa kula mchana wa Ramadhwaan?

 

 

JIBU:

 

 

Naam. Wanaruhusiwa kula mchana wa Ramadhwaan lakini ni vyema iwe kwa siri na haswa kama kuna kijana katika nyumba kwa sababu huenda likamtatiza (akataka kufungulia  Swawm).

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10080

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10080&title=11-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Wenye%20Hedhi%20Na%20Nifaas%20Wanaruhusiwa%20Kula%20Mchana%20Wa%20Ramadhwaan