Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 16-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Alipomalizia Hedhi Kabla Ya Adhuhuri Hakuona Damu Je Afunge Siku Hiyo?

16-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Alipomalizia Hedhi Kabla Ya Adhuhuri Hakuona Damu Je Afunge Siku Hiyo?

 

16-Alipomalizia Hedhi Kabla Ya Adhuhuri Hakuona Damu Je Afunge Siku Hiyo?

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

SWALI:

 

Katika siku za mwisho za hedhi na kabla ya Swalaah ya Adhuhuri mwanamke hakuona athari yoyote ya damu je afunge siku ya leo ihali hakuona Qiswat baydhwaa (maji maji meupe ambayo ni dalili ya utohara yanayokuja baada ya kukatika damu) au afanye nini?

 

 

JIBU:

 

 

Ikiwa ni katika ada yake sio kuona Qiswat baydhwaa kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake basi na afunge. Na ikiwa ni miongoni mwa ada yake kuona Qiswat baydhwaa basi asifunge hadi aone Qiswat baydhwaa.

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10096

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10096&title=16-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Alipomalizia%20Hedhi%20Kabla%20Ya%20Adhuhuri%20Hakuona%20Damu%20Je%20Afunge%20Siku%20Hiyo%3F