Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 17-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Kwa Mwenye Hedhi Au Nifaas Akiangalia Mswahafuni

17-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Kwa Mwenye Hedhi Au Nifaas Akiangalia Mswahafuni

 

Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Kwa Mwenye Hedhi Au Nifaas Akiangalia Mswahafuni

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

SWALI:

 

Nini hukumu ya usomaji wa Qur-aan kwa mwenye hedhi na nifaas akiwa anaangalia Mswahafuni au anahifadhi na haswa tukizingatia katika hali ya dharura kuwa ni mwanafunzi au mwalimu?

 

JIBU:

 

 

Si vibaya kwa mwanamke mwenye hedhi na nifaas kusoma Qur-aan kwa haja kama vile yeye ni mwalimu au mwanafunzi ambaye anasoma uradi wake wa siku kama ni usiku au mchana. Ama usomaji wa Qur-aan kwa maana ya usomaji wa kupata ujira na thawabu asifanye kwa sababu ‘Ulaama wengi wanaona kuwa mwenye hedhi haimfali kusoma Qur-aan.

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10097

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10097&title=17-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Kusoma%20Na%20Kuhifadhi%20Qur-aan%20Kwa%20Mwenye%20Hedhi%20Au%20Nifaas%20Akiangalia%20Mswahafuni%20