Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja) > 03-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukumu ya Udhwhiya kwa Maiti

03-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukumu ya Udhwhiya kwa Maiti

 

Hukumu ya Udhwhiya kwa Maiti

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

 

a-Udhwhiya ni kwa walio hai. Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  alikuwa na ndugu waliokufa kabla lakini hakuwachinjia.

 

 

b-Atakapousia mtu kabla ya kufa kwake achinjiwe basi usia wake utafuatwa  na atachinjiwa.

 

c-Achinje mtu kwa ajili yake na watu wa nyumbani kwake na anuie hilo walio hai na waliokufa.

 

d-Maiti kupwekeka na Udhwhiya si katika Sunnah.

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/11]

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10102

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10102&title=03-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Hukumu%20ya%20Udhwhiya%20kwa%20Maiti