Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja) > 04-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Inafaa Kumkosoa Anayechinja Kwa Ajili Ya Maiti

04-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Inafaa Kumkosoa Anayechinja Kwa Ajili Ya Maiti

 

Inafaa Kumkosoa Anayechinja Kwa Ajili Ya Maiti?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Je katika hali hiyo (kuchinja kwa asiyekuwa Allaah) tunatakiwa kumkosoa aliyechinja kwa ajili ya maiti?

 

 

JIBU:

 

 

Lau mtu akifanya hivyo hatutomkosoa bali tutamuelekeza kile kilicho bora zaidi nayo ni dua'a kwa maiti.

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/122)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10103

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10103&title=04-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Inafaa%20Kumkosoa%20Anayechinja%20Kwa%20Ajili%20Ya%20Maiti