Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja) > 06-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Aliyeoa Na Kuishi Na Baba Yake Udhwhiya Ya Baba Yake Inamtosheleza?

06-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Aliyeoa Na Kuishi Na Baba Yake Udhwhiya Ya Baba Yake Inamtosheleza?

 

Aliyeoa Na Kuishi Na Baba Yake Udhwhiya Ya Baba Yake Inamtosheleza?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Kijana aliyeoa mwenye mali anayekaa na babake je Udhwhiyah (kichinjo) ya babake kitamtosheleza?

 

JIBU:

 

 

a-Sunnah ni mtu kuchinja kwa ajili yake na watu wa nyumbani kwake wakubwa kwa wadogo.

 

b-Ama ikiwa kila mmoja anakaa nyumba yake tofauti basi kila mmoja anatakiwa achinje alipo (kivyake).

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/38)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10105

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10105&title=06-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Aliyeoa%20Na%20Kuishi%20Na%20Baba%20Yake%20Udhwhiya%20Ya%20Baba%20Yake%20Inamtosheleza%3F