Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja) > 07-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kukopa kwa Ajili ya Udhwhiya Inafaa?

07-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kukopa kwa Ajili ya Udhwhiya Inafaa?

 

Kukopa kwa Ajili ya Udhwhiya Inafaa?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

 

Fakiri ambaye hana chochote mkononi pindi 'Iydul-Adhw-haa  inapofika lakini ni mwenye kutarajia kupokea mshahara wake wa mwezi basi na akope achinje kisha alipe?

 

 

JIBU:

 

 

Kama hatoweza kulipa kwa muda wa karibu basi haifai kwake kukopa ili achinje kwani hili litamfanya ashughulike na kulipa deni.

 

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/110)]

 

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10106

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10106&title=07-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Kukopa%20kwa%20Ajili%20ya%20Udhwhiya%20Inafaa%3F