Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 27-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuonja Chakula Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Mwenye Swawm Inafaa?

27-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuonja Chakula Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Mwenye Swawm Inafaa?

 

 

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

27-Kuonja Chakula Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Mwenye Swawm Inafaa?  

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Nini hukumu ya kuonja chakula katika mchana wa Ramadhwaan kwa mwanamke aliyefunga?

 

 

JIBU:

 

 

Si vibaya kulingana na haja iliyopo lakini ateme anachokionja baada ya kuonja.

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10126

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10126&title=27-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Kuonja%20Chakula%20Mchana%20Wa%20Ramadhwaan%20Kwa%20Mwenye%20Swawm%20Inafaa%3F%20%20